• HABARI MPYA

  Saturday, August 12, 2017

  AZAM FC NA URA KATIKA PICHA JANA KAMPALA

  Mfungaji wa mabao yote mawili ya Azam FC, Mghana Yahya Mohammed katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji URA katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jana Uwanja wa Phillip Omondi, Kampala, Uganda akiwatoka mabeki wa timu hiyo
  Winga Mghana, Enock Atta Agyei akipiga shuti mbele ya wachezaji wa URA  
  Beki David Mwantika aliyekuwa Nahodha wa timu jana akiondoka na mpira 
  Kiungo Joseph Mahundi akiondoka na mpira jana
  Kikosi cha Azam FC kilichoanza katika mechi ya jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA URA KATIKA PICHA JANA KAMPALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top