WAPINZANI wa jadi katika soka ya Kenya, Gor Mahia na AFC Leopards watamenyana katika fainali ya michuano mipya kabisa, SportPesa Super Cup kesho Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kuanzia Saa 10:00.
Je, mchezo huo maarufu kama Derby ya Mashemeji utakuwa wa ngapi kuzikutanisha timunhizo? Cheki rekodi hapo chini
Mtaalamu wa pasi wa Gor Mahia, Tom Ochieng akimtoka Wycliff Jumba wa AFC Leopards mwishoni mwa miaka 1990 |
Kipa wa AFC Leopards, Kennedy Maitsi, beki George Sunguti na mshambuliaji wa Gor Mahia, Peter Dawo na Anthony Ndolo katika Derby Mashemeji mwaka 1989 |
Manahodha Timothy Madonye wa AFC Leopards na Maurice Ouma Ole Tunda wa Gor Mahia katika Derby ya Mashemeji katikati ya miaka 1970
0 comments:
Post a Comment