Aliyekuwa kocha wa timu za taifa za vijana Tanzania, Mbrazil Rodrigo Stockler kushoto, akiwa na kocha wa zamani wa Simba SC, Mtanzania aliyegeuka raia wa Oman, Talib Hilal walipokutana nchini Brazil katika Klabu Bingwa ya Dunia ya soka ya ufukweni, Talin kocha wa Al Ahly ya Dubai na Stockler ni kocha wa Vasco da Gama ya Brazil ya soka ya ufukweni.
Brighton dominate ten-man Villa
-
Brighton start their season with an emphatic win at home against Europa
League winners Aston Villa, with four first-half goals.
0 comments:
Post a Comment