• HABARI MPYA

    Saturday, May 12, 2012

    CISSE MIKONONI MWA POLISI


    Police probe ... QPR's Djibril Cisse

    Police probe ... QPR's Djibril Cisse
    EXCLUSIVE
    Published: Today at 00:13

    MWANASOKA nyota, Djibril Cisse anakabiliwa na matatizo polisi baada ya shabiki kushambuliwa na genge la wahuni nje ya jumba la sinema.

    Mshambuliaji huyo wa QPR alizozana na Geoffrey Candia, ambaye alimuomba kupiga naye picha wakiwa kwenye jumba la sinema.
    Wakati Geoffrey, 20 na wenzake watatu walipoanza kupiga yowe kuita jina la nyota huyo, Cisse aliwataka kunyamaza alimchukua mke wake kuona American Pie: Reunion.
    Saa moja baadaye tangu sinema ianze, mtu mmoja alisema Geoffrey ametoka Vue Cinema kwenda Park Royal, West London. Alisema: “Nje alivamiwa na watu kama nane. Walikuwa wanamsubiri kwenye eneo la magari.
    “Walikuwa wakisema watavunja miguu yetu na kutuulia mbali.”
    Geoffrey alisema mmoja wa wahuni hao alimpiga sana miguuni kabla hajaondoka.

    Film trip ... Djibril Cisse's wife Jude
    Mke wq Djibril Cisse, Jude
    Polisi kwanza inaangali rekodi ya tukio hilo kewenye kamera za CCTV kabla ya kuamua kuzungumza na mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ufaransa mwenuye umri wa miaka 30.
    Geoffrey, kutoka Harrow, North West London, alipomuona mara ya kwanza baba wa watoto watatu, Cisse hakujwa na uhakika kama ni yeye, ikabidi apige yowe kuita jina lake.
    “Aligeuka kwa hasira na kusema, ‘Kwa nini unaniijia hivyo?’
    “Nikasema sikuwa. lakini nilitaka picha. Alisema anataka usiku mtulivu.”
    Usiku wa jana, Msemaji wa Cisse alisema: “Kulikuwa kuna vijana wanne, ambao walianza kuleta usumbufu kwenye mlango wa kuingilia. Walikuwa wanaita kwa sauti ‘Cisse’.
     “Aliingia ndani kuangalia filamu na wakaenda kumuomba radhi. Hao vijana wamekuwa waongo sana. Hakukuwa na tukio kubwa,
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CISSE MIKONONI MWA POLISI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top