• HABARI MPYA

    Thursday, May 03, 2012

    SMIRNOFF NI KILA KONA BABAKE

     
    Meneja wa Smirnoff  bwana Benjamin  Mariki wa pili kulia akikabidhi zawadi ya t-shirt ya Smirnoff kwa mmoja wa washiriki wa tafrija fupi(cocktail party) iliyoandaliwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji hicho jijini Dar mwishoni mwa wiki.

    Meneja wa Smirnoff  bwana Benjamin  Mariki wa pili kulia akikabidhi zawadi ya t-shirt ya Smirnoff kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Ericsson hapa nchini katika tafrija fupi(cocktail party) iliyoandaliwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji hicho jijini Dar mwishoni mwa wiki.

    Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika tafrija fupi (cocktail party)iliyoandaliwa na kampuni ya bia ya Serengeti mwishoni mwa wiki wakifuatilia kwa umakini hatua mbalimbali za namna ya kuchanganya kinywaji aina ya Smirnoff ili kutengeneza cocktail kama ilivyokuwa ilielekezwa na meneja wa spiriti wa kampuni hiyo bwana Emilian Rwejuna (wapili kutoka kulia).

    Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika tafrija fupi (cocktail party) ilioandaliwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji cha Smirnoff kinachoingizwa na kusambazwa na kampuni hiyohapa nchini.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SMIRNOFF NI KILA KONA BABAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top