• HABARI MPYA

    Tuesday, June 06, 2017

    YANGA NA TUSKER FC KATIKA PICHA JANA UHURU

    Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Said Mussa akipasua katikati ya wachezaji wa Tusker FC ya Kenya katika mchezo wa kwanza wa michuano ya SportPesa Super Cup jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90
    Said Mussa akimfunga tela James Situma wa Tusker FC jana
    Kiungo wa Yanga, Yussuf Mhilu (katikati) akiruka kuwania mpira wa juu dhidi ya beki wa Tusker
    Kiungo aliyetumika kama mshambuliaji Yanga jana, Juma Mahadhi akimiliki mpira mbele ya James Situma wa Tusker
    Kikosi cha Yanga jana na chini ni kikosi cha Tusker FC ya Kenya

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA TUSKER FC KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top