• HABARI MPYA

    Friday, June 09, 2017

    YANGA NA AFC LEOPARDS KATIKA PICHA JANA UHURU

    Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' akiruka juu kuokoa dhidi ya mshambuliaji wa AFC Leopards ya Kenya, Gilbert Fiamenyo jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam katika mchezo wa Nusu Fainali ya SportPesa Super Cup. AFC Leopards ilishinda kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 0-0 na kwenda fainali  
    Beki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) akiwania mpira wa juu dhidi ya Vincent Oburu wa AFC Leopards
    Maka Edward Mwakalukwa wa Yanga (kushoto) akimiliki mpira dhidi ya Vincent Oburu wa AFC Leopards
    Mshambuliaji wa Yanga, Samuel Greyson Benkere akiruka juu kumpita Duncan Otieno wa AFC Leopards 
    Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Uhuru na chini ni kikosi cha AFC Leopards

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA AFC LEOPARDS KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top