Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' akiruka juu kuokoa dhidi ya mshambuliaji wa AFC Leopards ya Kenya, Gilbert Fiamenyo jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam katika mchezo wa Nusu Fainali ya SportPesa Super Cup. AFC Leopards ilishinda kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 0-0 na kwenda fainali
Beki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) akiwania mpira wa juu dhidi ya Vincent Oburu wa AFC Leopards
Maka Edward Mwakalukwa wa Yanga (kushoto) akimiliki mpira dhidi ya Vincent Oburu wa AFC Leopards
Mshambuliaji wa Yanga, Samuel Greyson Benkere akiruka juu kumpita Duncan Otieno wa AFC Leopards
Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Uhuru na chini ni kikosi cha AFC Leopards
Invincibles This Week: Two draws, but two to go...
-
Take a look at what was going on around the world and on the pitch 20 years
ago this week during our Invincibles campaign
43 minutes ago
0 comments:
Post a Comment