• HABARI MPYA

    Sunday, June 18, 2017

    URUSI YAANZA VYEMA KOMBE LA MABARA, YAIPIGA NEW ZEALAND 2-0

    Denis Glushakov wa Urusi akipambana katikati ya mabeki wa New Zealand kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 31 akimlazimisha Michael Boxall kujifunga katika mechi ya Kundi A michuano ya Kombe Mabara jana Uwanja wa Krestovskyi mjini St. Petersburg. Bao lingine la wenyeji, Urusi lilifungwa na Fyodor Smolov dakika ya 69  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: URUSI YAANZA VYEMA KOMBE LA MABARA, YAIPIGA NEW ZEALAND 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top