• HABARI MPYA

  Wednesday, June 14, 2017

  MARA YA MWISHO UMEMUONA LINI MDUDA KANUNA, YEYE TABASAMU WAKATI WOTE!

  Kipa wa pili wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Said Mohammed Mduda akifurahia kama kawaida yake benchi kabla ya kuanza kwa mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019 Cameroon dhidi ya Lesotho Jumamosi usiku wa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. Kipa huyo wa Mtibwa Sugar ya Morogoro anafahamika zaidi kwa tabasamu lake pana wakati wote, iwe kwa shida au raha 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MARA YA MWISHO UMEMUONA LINI MDUDA KANUNA, YEYE TABASAMU WAKATI WOTE! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top