Kipa wa pili wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Said Mohammed Mduda akifurahia kama kawaida yake benchi kabla ya kuanza kwa mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019 Cameroon dhidi ya Lesotho Jumamosi usiku wa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. Kipa huyo wa Mtibwa Sugar ya Morogoro anafahamika zaidi kwa tabasamu lake pana wakati wote, iwe kwa shida au raha
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment