Leroy Sane akimpongeza Marco Reus (kulia) baada ya kuifungia Ujerumani mabao mawili dakika za 10 na 37 katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Estonia kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 Uwanja wa OPEL Arena mjini Mainz. Sana naye alifunga bao la nane dakika ya 88, wakati mabao mengine ya Ujerumani yamefungwa na Serge Gnabry dakika ya 17 na 62, Leon Goretzka dakika ya 20, Ilkay Gundogan kwa penalti dakika ya 26 na Timo Werner dakika ya 79. Ujerumani inafikisha pointi katika mchezo wa tatu na inaendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya Ireland Kaskazini yenye pointi 12 za mechi nne, wakati Uholanzi yenye pointi tatu za mechi mbili ni ya tatu ikifuatiwa na Belarus na Estonia ambazo hazina pointi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Is there a right time for a Panenka - as Brentford pay the price?
-
Brentford are beaten by West Ham on penalties as Dango Ouattara is left to
rue a missed Panenka. Is there ever a right rime to take one?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment