Alexis Sanchez akiifungia penalti ya mwisho Chile ikiibuka na ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 0-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya Copa America usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Arena Corinthians mjini Sao Paulo, Brazil na sasa itamenyana na Peru Julai 4 katika Nusu Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Athletics: World Indoor Championships
-
Live coverage from day two of the 2025 World Indoor Athletics Championships.
39 minutes ago
0 comments:
Post a Comment