
Joshua mwenye urefu wa futi sita atajaribu kurejesha mataji yake ya IBF, WBA na WBO katika pambano la marudiano Novemba. Hilo ni pambano la kwanza Joshua kupoteza baada ya kushinda mapambano yake yote 22 ya awali, 21 kwa knockout, wakati Ruiz mwenye urefu wa futi nne ameshinda pambalo la 32 na 22 kwa KO, huku akiwa amepoteza pambano moja pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment