Wachezaji wa Liverpool wakisherehekea na Kombe lao la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur, mabao ya washambuliaji Mmisri Mohamed Salah dakika ya pili kwa penalti na Mbelgiji mwenye asili ya Kenya, Divock Origi dakika ya 87 Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, Hispania usiku wa jana. Hilo linakuwa taji la sita kwa Liverpool la Ligi ya Mabingwa, baada ya awali kulibeba misimu ya 1976–1977, 1977–1978, 1980–1981, 1983–1984 na 2004–2005 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jonjo Shelvey opens up on turbulent spell in Turkey as former Liverpool
star reveals the events that led to his sleeping pill addiction
-
Jonjo Shelvey has opened up on his sleeping pill addiction and the
difficult time he endured during his rollercoaster spell in Turkey.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment