• HABARI MPYA

  Wednesday, August 02, 2017

  MANE AFUNGA LA KWANZA, LIVERPOOL YAILAZA 3-0 BAYERN MUNICH UJERUMANI

  Mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza leo dakika ya saba katika mchezo wa kirafiki wa Nusu Fainali Kombe la Audi dhidi ya wenyeji, Bayern Munich Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 34 na Daniel Sturridge dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE AFUNGA LA KWANZA, LIVERPOOL YAILAZA 3-0 BAYERN MUNICH UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top