• HABARI MPYA

    Thursday, September 04, 2014

    YANGA SC NA THIKA UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA, HAO NIYONZIMA NA COUTINHO HAWAFAI!

    Kiungo wa Yanga SC, aliyerudi kwenye fomu yake, Haruna Niyonzima akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Thika United ya Kenya jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki. Yanga SC ilishinda 1-0.
    Mfungaji wa bao pekee jana, Geilson Santana Santos 'Jaja' katikati akiwa amepoga shuti

    Kiungo Hamisi Thabit akipiga pasi pembeni ya mabeki wa Thika

    Winga wa Simon Msuva kushoto akimtoka beki wa Thika United kabla ya kutoa krosi iliyozaa bao pekee jana

    Beki wa Yanga SC, Juma Abdul kushoto akimtoka beki mwenzake wa Thika

    Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho akienda chini baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Thika jana  

    Haruna Niyonzima akifanya yake jana

    Kikosi cha Yanga SC jana Taifa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA THIKA UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA, HAO NIYONZIMA NA COUTINHO HAWAFAI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top