• HABARI MPYA

    Sunday, September 28, 2014

    AZAM FC NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akimuacha chini beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0.
    Mfungaji wa mabao yote ya Azam FC jana, Didier Kavumbangu akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Ruvu, Salvatory Ntebe
    Mashabiki wa Azam FC wakifurahia jana
    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akiwatoka wachezaji wa Ruvu jana
    Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimtoka kiungo wa Ruvu jana
    Kikosi cha Ruvu jana
    Kikosi cha Azam FC jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top