• HABARI MPYA

    Saturday, September 27, 2014

    RONALDO AENDELEZA TABIA YAKE YA KUFUNGA TU, APIGA MOJA REAL IKISHINDA 2-0 LA LIGA

    Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Villarreal katika La Liga leo. Bao lingine la Real lilifungwa la Liuka Modric. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AENDELEZA TABIA YAKE YA KUFUNGA TU, APIGA MOJA REAL IKISHINDA 2-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top