| Kikosi cha TP Mazembe chenye washambuliaji wawili Watanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu leo kinamenyana ES Setif ya Algeria katika Nusu Fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mazembe itahitaji ushindi wa 1-0 katika mchezo wa nyumbani leo ili kwenda Fainali, baada ya awali kufungwa mabao 2-1 Algeria. Kila heri Samatta na Ulimwengu. Kila la heri TP Mazembe. |
0 comments:
Post a Comment