• HABARI MPYA

    Monday, September 29, 2014

    MAXIMO ALIVYOMKURUPUSHA KOCHA KIBONGE WA PRISONS JANA

    Kocha wa Yanga SC, Mbrazil Marcio Maximo (kushoto) alimfuata kocha wa Prisons, David Mwamwaja (kulia) kumsalimia kabla ya mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hizo jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-1
    Akamuinia wakakakumbatiana
    Wakazungumza kidogo kutakiana heri ya mchezo
    Mwamwaja alifurahia mno heshima aliyopewa Maximo
    Kisha wakaagana kwa furaha
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAXIMO ALIVYOMKURUPUSHA KOCHA KIBONGE WA PRISONS JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top