• HABARI MPYA

    Wednesday, September 24, 2014

    SWANSEA YAIFUMUA EVERTON 3-0 KOMBE LA LIGI

    Mholanzi Marvin Emnes akipongezwa na Jonjo Shelvey baada ya kuifungia Swansea bao la tatu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Everton katika Kombe la Ligi England, maarufu kama Capital One Cup jana usiku. Mabao mengine ya swansea yalifungwa na Nathan Dyer na Gylfi Sigurdsson.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SWANSEA YAIFUMUA EVERTON 3-0 KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top