• HABARI MPYA

    Sunday, September 28, 2014

    SIMBA SC NA POLISI MORO KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Beki wa Polisi Morogoro, akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
    Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' kushoto akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Polisi, Lulanga Mapunda
    Kikosi cha Simba SC jana
    Kikosi cha Polisi jana
    Wachezaji wa Simba SC wakimpongeza Emmanuel Okwi baada ya kuwafungia bao la kuongoza jana
    Wachezaji wa Polisi wakimpongeza mfungaji wao bao lao la kusawazisha, Danny Mrwanda wa pili kulia
    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Kassim Dewji kushoto akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Said Tuliy wakifuatilia mchezo huo jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA POLISI MORO KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top