PRISONS 'WALIVYOWAPANDISHA PRESHA' MABOSI WA YANGA SC JANA TAIFA
Wamechomoa bwana; Wajumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Seif Ahmed 'Magari' kulia na Mussa Katabaro kushoto wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana baina ya timu yao na Prisons ya Mbeya. Hapa ni wakati Prisons wamesawazisha bao na kuwa 1-1, ingawa mwisho wa mechi Yanga SC ilishinda 2-1.
0 comments:
Post a Comment