![]() |
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka beki wa Polisi Moro katika mchezo wa ufunguzi Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana, Azam FC ilishinda 3-1 |
![]() |
Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akiteleza kuunganisha krosi ya Kipre Tchetche (hayupo pichani) kuifungia Azam FC bao la kwanza kati ya mawili aliyofunga jana kwenye ushindi wa 3-1 |
![]() |
Kipre Tchetche akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Polisi Moro |
![]() |
Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Polisi |
![]() |
Himid Mao wa Azam FC akiugulia maumivu ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Polisi kulia |
![]() |
Kiungo mkongwe wa Polisi, Bantu Admin akimtoka kiungo wa Azam FC, Himid Mao kushoto |
![]() |
Beki chipukizi wa Azam FC, Gardiel Michael akimdhibiti mshambuliaji mkongwe wa Polisi, Danny Mrwanda kushoto |
![]() |
Beki wa Azam FC, Aggrey Morris katikati ya kipa na beki wa Polisi akijaribu kufunga. Aggrey alifunga bao moja katika ushindi wa 3-1 |
0 comments:
Post a Comment