Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akimkwatua kwa nyuma Stewart Downing wa West Ham kabla ya kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. United ilishinda 2-1.
Refa Lee Mason akimuonyesha kadi nyekundu Rooney
Wachezaji wenzake Rooney wakimtetea kwa refa
Rooney akiondoka uwanjani kwa machungu
0 comments:
Post a Comment