Winga wa Azam FC, Joseph Kimwaga aliyekuwa majeruhi akifanya mazoezi ya nguvu katika gym ya klabu hiyo iliyopo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jana. Kimwaga amepona maumivu ya goti yaliyomuweka nje ya Uwanja tangu mwishoni mwa mwa ka jana na sasa ameanza mazoezi kuelejea kurejea uwanjani.
0 comments:
Post a Comment