MESSI AKOSA PENALTI, LAKINI BARCELONA YAUA 5-0 LA LIGA
Mshambuliaji wa Barcelona, Leonel Messi akishangilia na mchezaji mwenzake, Akitic baada ya kufunga katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Levante kwenye La Liga jana. Messi alifunga bao moja, lakini akakosa penalti wakati mabao mengine yalifungwa na Neymar, Ivan Rakitic, Sandro na Pedro.
0 comments:
Post a Comment