• HABARI MPYA

    Thursday, September 04, 2014

    RONALDO AFUNGUA MTIMA WAKE; "MAN UNITED IPO MOYONI MWANGU, NATAMANI NIRUDI"

    MWANASOKA Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo amesema kwamba Manchester United ni klabu ambayo ipo moyoni make na anatamani siku moja are jee kucheza tena.
    Mchezaji huyo wa Real Madrid na Ureno ameweka wazi "MaipendaI Manchester," na kuongeza;
    "Kila mmoja anajua hilo — nimesema hivyo mara nyingi. Manchester ipo moyoni mwangu. Nimeacha marafi wengi huko, mashabiki wanavutia sana na ninatamani siku moja ningerudi,". 

    Shetani mwekundu: Cristiano Ronaldo akiwa mbele ya gari ya McLaren wakati wa Tag Heuer 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AFUNGUA MTIMA WAKE; "MAN UNITED IPO MOYONI MWANGU, NATAMANI NIRUDI" Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top