• HABARI MPYA

    Thursday, September 25, 2014

    LIVERPOOL YAKABIDHIWA KWA SWANSEA, MAN CITY NA NEWCASTLE, CHELSEA YAPATA VIBONDE RAUNDI YA NNE CAPTAL ONE

    TIMU ya hadhi ya chini iliyobaki katika Kombe la Ligi, Shrewsbury Town, itamenyana na timu ya Ligi Kuu ya England, Chelsea katika raundi ya Nne ya michuano hiyo.
    Timu hiyo ya Daraja la Pili, Shrews, ambayo imeitoa Norwich ya Daraja la Kwanza katika raundi iliyoalizika usiku huu, itakuwa mwenyeji wa The Blues iliyoichapa 2-1 Bolton usiku wa Jumatano. 

    Frank Lampard akisherehekea bao lake la tatu katika mechi mbili baada ya leo kufungwa mawili dhidi ya Sheffield Wednesday

    RATIBA RAUNDI YA NNE KOMBE LA LIGI ENGLAND...

    Tottenham Hotspur vs Brighton
    Stoke vs Southampton
    Bournemouth vs West Brom
    Shrewsbury vs Chelsea
    Liverpool vs Swansea
    MK Dons vs Sheffield United
    Manchester City vs Newcastle United
    (Mechi zitachezwa wikiendi ya Oktoba 27, 2014 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAKABIDHIWA KWA SWANSEA, MAN CITY NA NEWCASTLE, CHELSEA YAPATA VIBONDE RAUNDI YA NNE CAPTAL ONE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top