Santiago Vergini akimvuta jezi Mousa Dembele wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya England kati ya Sunderland na Tottenham Hotspur. Timu hizo zilitoka 2-2 Uwanja wa Light, mabao ya Sunderland yakifungwa na Adam Johnson na Harry Kane aliyejifunga, wakati ya Spurs yamefungwa na Nacer Chadli na Christian Eriksen.
Meet the heavyweight who teaches sign language
-
Meet Grace Buckle, a unique heavyweight who wants to make the women's
heaviest division as big as the men's.
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment