• HABARI MPYA

    Saturday, September 13, 2014

    MAYWEATHER AMZIDI UZITO MAIDANA KUELEKEA PAMBANO LA LAO LA KIHISTORIA LEO LAS VEGAS

    BONDIA Floyd Mayweather amemzidi nusu kilo Marcos Maidana wakati wa kupima uzito kuelekea pambano la usiku wa leo mjini Las Vegas.
    Mkali huyo wa kutupa mikono kwa kasi pia anapungua nusu kilo kutimia uzito kamili wa paundi 147 wa mataji ya Welter na Light Middle.
    Mayweather atapambana na mbabe wa Argentina ukumbi wa MGM Grand Garden Arena usiku wa leo, katika pambano la marudiano baada ya Mei kushinda kwa utata.
    Nakudunda tena; Floyd Mayweather na Marcos Maidana wakitazamana wakati wa kupima uzito mjini Las Vegas katika ukumbi wa MGM Grand
    Floyd Mayweather and Marcos Maidana pose during their official weigh-in at the MGM Grand Garden Arena
    Safari hii nakupiga; Floyd Mayweather na Marcos Maidana wakiwa wameshikilia mkanda wa WBC wakati wa kupima uzito MGM Grand Garden Arena
    Floyd Mayweather is the welterweight champion and looks to defend his title in Las Vegas on Saturday night
    Floyd Mayweather wakati akipima uzito Las Vegas leo
    Marcos Maidana has trimmed down in the hope of matching Floyd Mayweather's dynamic speed on Saturday
    Marcos Maidana wakatiakipima uzito
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAYWEATHER AMZIDI UZITO MAIDANA KUELEKEA PAMBANO LA LAO LA KIHISTORIA LEO LAS VEGAS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top