• HABARI MPYA

    Wednesday, September 03, 2014

    HUYU JAMAA ALITAKA JAJA ATOLEWE MAPEMA TU

    Toa Jaja huyooo; Shabiki aliyenyoosha mkono alipiga yowe la kutaka Geilson Santana Santos 'Jaja' atolewe kipindi cha kwanza. Lakini Mbrazil huyo ndiye aliyeifungia bao pekee Yanga SC leo dakika ya 58.
    Jaja akishangilia baada ya kufunga na chini akipongezwa na wenzake 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUYU JAMAA ALITAKA JAJA ATOLEWE MAPEMA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top