 |
| Taifa Stars wa kwanza kushoto ni kocha wa makipa, Juma Pondamali |
 |
| Katikai Kim Poulsen kocha wa Stars, kushoto Msaidizi wake Sylvester Marsh na kulia Meneja Leopold Mukebezi |
 |
| Azim Dewji kulia na Leonard Thadeo kushoto |
 |
| Gwiji wa Simba, Abdallah Kibadeni kushoto na Uhuru Suleiman |
 |
| Makocha wa Yanga, Freddy Felix Minziro na kocha wa makipa Mfaume Athumani wakiwa na beki wa zamani wa Yanga, Willy Martine 'Gari Kubwa' wa pili kutoka kushoto |
 |
| Makumbi Juma katikati |
 |
| Eric Sagala 'Cantona' katikati |
 |
| Suleiman Matola kulia |
Juma Nyosso kushoto na John Bocco 'Adebayor' kulia wakiwa wamebeba jeneza
 |
| Shabiki Mkongomani akidhibitiwa baada ya kupagawa alipoona jeneza la marehemu Mafisango |
 |
| Amir Maftah aliyebeba msalaba na Mwinyi Kazimoto kashika picha |
 |
| Nahodha wa Simba Juma Kaseja akisaidiwa baada ya kushindwa kujizuia na kuangua kilio kiasi cha kuishiwa nguvu |
 |
| Kaseja ni huzuni na kilio |
 |
| Jeneza la Patrick Mutesa Mafisango |
 |
| Makamu Mwenyekiti wa Simba, Kaburu na Leslie Liunda kushoto |
 |
| Kocha wa Simba, Milovan Cirkovick |
 |
| Milovan kilio |
 |
| Shabiki 'hayawani' la Yanga, maarufu kama J4 likicheka msibani |
 |
| Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dk Fennella Mukangara (wa pili kutoka kushoto)akiingia Uwanja wa TCC |
 |
| Dk Fenella na Thadeo wakijadiliana |
 |
| Jamal Malinzi mwenye miwani |
 |
| Ibada |
 |
| Mchungaji Tito Kyame akiongoza ibada ya kumuombea marehemu |
 |
| Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa akitoa rambirambi |
 |
| Ofisa wa Push Mobile, mmoja wa wadhamini wa Simba akitoa rambirambi |
 |
| Mwenyekiti wa Simba, ALhaj Ismail Aden Rage akitoa hotuba |
 |
| Wazee wenye busara wa Simba |
 |
| Rage akimuinua Dk Fenella akahutubie |
 |
| Athumani Tippo 'Zozzou' |
 |
| Kiggi Makassy kulia |
 |
| Clement Kahbuka kushoto na Athumani Jumapili Chama kulia |
0 comments:
Post a Comment