• HABARI MPYA

  Thursday, June 01, 2017

  ZLATAN AANZA KUJIFUA TAYARI KUREJEA KAZINI MAN UNITED

 • Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akijaribu kufanya mazoezi ya kupiga mpira baada ya kuanza kupata nafuu kufuatia kuumia mguu wa kulia katika mchezo wa Robo Fainali ya Europa League dhidi ya Anderlecht mwezi Aprili  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
 • Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZLATAN AANZA KUJIFUA TAYARI KUREJEA KAZINI MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top