• HABARI MPYA

    Sunday, June 04, 2017

    RONALDO NA MWALI WAKE BAADA YA KAZI NGUMU NA NZURI JANA

    Cristiano Ronaldo akiwa na Kombe la Ligi ya Mabingwa baada ya kuisaidia Real Madrid kulitwaa jana kufuatia ushindi wa 4-1, akifunga mabao mawili dhidi ya Juventus ya Italia Uwanja wa Millennium mjini Cardiff, Wales 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO NA MWALI WAKE BAADA YA KAZI NGUMU NA NZURI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top