• HABARI MPYA

    Friday, June 09, 2017

    MAMADOU SAKHO NA FAMILIA YAKE WALIVYOKULA BATA 'BONGO'

    Beki wa kimataifa wa Ufaransa, Mamadou Sakho (kulia) akiwa na mkewe na Majda na binti yao wakati mbuga ya Safari wajati wa ziara yao nchini Tanzania
    Hapa Sakho ambaye msimu uliopita alicheza kwa mkopo Crystal Palace na mkewe Majda na mabinti zao wote wawili 
    Bila shaka familia hii ilikuwa na wakati mzuri katika ziara yao ya Tanzania
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAMADOU SAKHO NA FAMILIA YAKE WALIVYOKULA BATA 'BONGO' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top