• HABARI MPYA

    Friday, September 19, 2014

    YANGA SC WAPEWA WIKI MBILI KUWASILISHA RASIMU YA KATIBA TFF

    Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM
    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeitaka klabu ya Yanga kuwasilisha rasimu ya Katiba waliyoipitisha, kwa kuzingatia kuwa Muhtasari wa kikao cha Mkutano Mkuu wao wa Juni 1 mwaka huu umeainisha baadhi ya marekebisho waliyofanya kwa tulivyowaelekeza.
    Yanga wanatakiwa kuwasilisha rasimu hiyo kabla ya Oktoba 5 mwaka huu. Ikiwa itakubaliwa na TFF, itapelekwa kwa Msajili wa Klabu na Vyama vya Michezo ili waweze kufanya uchaguzi wa viongozi wao.
    Mzee peleka Katiba TFF; Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Manji kulia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WAPEWA WIKI MBILI KUWASILISHA RASIMU YA KATIBA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top