![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Mkenya Paul Kiongera kushoto akimtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Harun Shakana kulia katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 3-0. |
![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi kushoto akipambana na mchezaji wa Gor Mahia, Patrick Onyango kulia |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' kushoto akimtoka beki wa Gor Mahia |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Ibrahim Ajibu kulia akimtoka beki wa Gor Mahia |
![]() |
Winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Gor Mahia |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Uhuru Sulaiman akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Gor Mahia |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Awadh Juma akipasua katikati ya wachezaji wa Gro Mahia |
![]() |
Kikosi kilichoanza Simba SC jana |
0 comments:
Post a Comment