• HABARI MPYA

    Sunday, September 07, 2014

    CARL FRAMPTON AMTWANGA KIKO MARTINEZ NA KUBEBA TAJI LA DUNIA

    Kitu kimefika: Bondia Muingereza, Carl Frampton kulia akiwa amemchapa ngumi ya usoni kwa mono wa kulia Kiko Martinez katika pambano ambalo alishinda kwa pointi 119-108, 119108 na 118-111 kutwaa ubingwa wa dunia wa IBF uzito wa Super Bantam mjini Belfast.
    Down he goes: Martinez was dropped in the fifth round but recovered to take the fight to the final bell
    Martinez alidondoshwa chini raundi ya tano, lakini akasimama imara na kumalizia vizuri pambano
    And the new: Frampton is announced as the new world champion after dethroning Martinez in Belfast
    Bingwa mpya: Frampton akiwa amevishwa taji lake la dunia baada ya kumshinda Martinez nyumbani mjini Belfast
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CARL FRAMPTON AMTWANGA KIKO MARTINEZ NA KUBEBA TAJI LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top