• HABARI MPYA

    Thursday, September 04, 2014

    RONALDINHO APATA MKATABA MPYA BAADA YA KUBWAGA MANYANGA ATLETICO MINEIRO

    MWANASOKA bora wa zamani wa dunia, Ronaldinho Gaucho amepewa ofa ya kuendelea kucheza na klabu ya Basingstoke Town.
    Timu hiyo ya Ligi ya awali, (Conference South) imempa ofa ya mkataba nyota hiuyo wa zamani wa Barcelona na AC Milan ambaye yuko huru baada ya kuondoka Atletico Mineiro ya Brazil, kwa mujibu wa Basingstoke Gazette
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 pia amepewa ofa ya kusafiri hadi England na malazi kama sehemu ya mkataba huo. 

    Mkamate kama unaweza: Ronaldinho akimuacha chini mchezaji wa Flamengo, Wellington katika moja ya mechi alizocheza Ligi ya Brazil
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDINHO APATA MKATABA MPYA BAADA YA KUBWAGA MANYANGA ATLETICO MINEIRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top