• HABARI MPYA

    Sunday, September 14, 2014

    MAYWEATHER NA MAIDANA KATIKA PICHA, RAUNDI 12 ZA 'KUFA MTU'


    Floyd Mayweather akishangilia na mataji yake baada ya kumshinda kwa pointi za majaji zote Marcos Maidana ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas. Marekani asubuhi hii.
    Floyd Mayweather was a clear and deserved winner over the Argentine Marcos Maidana at the MGM Grand
    Floyd Mayweather akimtupia konde Marcos Maidana 
    Floyd Mayweather landed the better shots on the counter during the rematch to move to 47-0
    Floyd Mayweather akifikisha mono kwenye kichwa cha Maidana
    Floyd Mayweather goes to work on the body of Marcos Maidana with a jab
    Floyd Mayweather akimchapa Marcos Maidana 
    Will Smith enjoys the action from the stands at the MGM Grand's Garden Arena
    Will Smith akifurahia pambano hilo ukumbi wa MGM Grand
    Marcos Maidana roughs Floyd Mayweather up by rubbing his arm in the American's face
    Marcos Maidana alilazimika kucheza faulo kumdhibiti Mayweather Floyd Mayweather goes down after he felt he was bundled to the ground by Marcos Maidana
    Floyd Mayweather akienda chini baada ya kusukumwa na Marcos Maidana
    Marcos Maidana has a point deducted by referee Kenny Bayless 
    Marcos Maidana akikatwa na pointi na Kenny Bayless kwa kucheza rafu 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAYWEATHER NA MAIDANA KATIKA PICHA, RAUNDI 12 ZA 'KUFA MTU' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top