MAXIMO ASHUHUDIA MWENYEWE BALAA LA SIMBA SC LEO TAIFA
Kocha wa Yanga SC (picha ndogo chini kushoto), Marcio Maximo kulia akiwa Msaidizi wake, Mbrazil mwenzake, Leonardo Leiva wakifuatilia mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC na Gor Mahia ya Kenya jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba imeshinda 3-0. picha kubwa ni wachezaji wa Simba wakishangilia moja ya mabao yao leo.
0 comments:
Post a Comment