• HABARI MPYA

    Saturday, September 06, 2014

    KIONGERA NDIO WIMBO MPYA MSIMBAZI

    Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Mkenya Paul Kiongera akishangilia moja ya mabao yake mawili katika ushindi wa 3-0 jioni ya leo kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Chini ni mashabiki wa timu hiyo wakifurahia raha za Kiongera, mkali mpya wa mabao wa Msimbazi.
    Mtu hatari mbele ya lango; Paul Kiongera kushoto langoni mwa Gor Mahia leo
    Vigogo wa kundi la Friends Of Simba SC, kushoto Zacharia Hans Poppe kulia Crescentius Johm Magori wakila raha Taifa leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIONGERA NDIO WIMBO MPYA MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top