La kwanza la msimu; Mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku akifumua shuti kufunga katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion leo katika Ligi Kuu ya England. Hilo ni bao la kwanza la Lukaku msimu huu, baada ya kusajiliwa moja kwa moja na kocha Roberto Martinez kutoka Chelsea kufuatia kuichezea kwa mkopo timu hiyo msimu uliopita. Bao lingine la Everton lilifungwa na Kevin Mirallas.
Indian envoy, movie producers forge strategic ties to boost
Nollywood-Bollywood collaboration
-
From Juliana Taiwo-Obalonye, Abuja In a landmark meeting aimed at fostering
international cooperation and growth within Nigeria’s creative sector, the
Na...
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment