BARCELONA YATAKATA, NEYMAR NA MESSI WAFUNGA MOJA KILA MMOJA LA LIGA
Washindi; Mshambuliaji wa Brazil, Neymar akipongezana na Muargentina Lionel Messi baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 2-0 wa Barcelona dhidi ya Athletic Bilbao katika La Liga Uwanja wa Camp Nou. Wawili ndiyo waliofunga mabao tote hayo leo, kocha Luis Enrique akiondoka na furaha Nou Camp.
0 comments:
Post a Comment