• HABARI MPYA

    Thursday, September 04, 2014

    IBRAHIMOVIC SASA NDIYE MFALME WA MABAO SWEDEN

    MSHAMBULIAJI wa PSG, Zlatan Ibrahimovic amefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyeifungia mabao mengi zaidi Sweden kihistoria baada ya kufunga mabao mawili timu hiyo ikilala 2-0 mbele ya Estonia usiku huu.
    Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 32 baada ya mabao hayo mawili dhidi ya Estonia, sasa anafikisha mabao 50, akimpiku Sven Rydell, ambaye alifunga bao lake la 49 dhidi ya Finland mwaka 1932.
    Baada ya kuvunja rekodi hiyo, alitoa jezi yake kuonyesha ujumbe kwa mashabiki uliosomeka. "Ni gjorde det mojligt,' or: wenye maana 'Umefanya iwezekane.'

    Namba 1: Sasa amevunja rekodi ya Sven Rydel aliyefunga mabao 49 Sweden
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IBRAHIMOVIC SASA NDIYE MFALME WA MABAO SWEDEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top