• HABARI MPYA

    Wednesday, September 03, 2014

    HANS POPPE NA TIMU YAKE WALIVYOIPIGA CHABO YANGA SC TAIFA LEO

    Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kushoto akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, Salim Abdallah kulia wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga na Thika United ya Kenya jioni ya leo Uwanja wa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0. 
    Hans Poppe akimuelekeza jambo Salim
    Hans Poppe alikuwa mwenye furaha leo jukwaani
    Hans Poppe na Salim akijadiliana wakati mchezo ukiendelea
    Juu; Kutoka kulia Michael Wambura, Mohammed Nassor 'Steven Seagal', Evarist Hagila na Musley Ruwey
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HANS POPPE NA TIMU YAKE WALIVYOIPIGA CHABO YANGA SC TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top