• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 26, 2012

  YANGA NA TUSKER KATIKA PICHA LEO TAIFA

  Winga wa Yanga, Simon Msuva kushoto akimtoka beki wa Tusker katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tusker ilishinda 1-0.

  Kikosi cha Yanga kilichoanza leo

  Shabiki mpya wa Yanga, aliyehamia kutoka Simba SC hivi karibuni akiwa mwenye huzuni baada ya timu yake mpya kulala 1-0

  Kikosi cha Tusker kilichoipiga Yanga leo 

  Manahodha, Nadir Haroub 'Cannavaro' wa Yanga kushoto na Joseph Shikokoti wa Tusker wakiziongoza timu zao kuingia uwanjani
  Hapa ni kabla ya maumivu
  Nizar Khalfan kushoto akimtoka beki wa Tusker
  Cannavaro akipambana
  David Luhende akiwatoka mabeki wa Tusker
  Nurdin Bakari akijaribu kupiga krosi mbele ya beki wa Tusker
  Hamisi Kiiza kushoto
  Beki wa Tusker, akimdhibiti chipukizi wa Yanga, George Banda
  Banda kulia anamtoka beki wa Tusker
  Msuva anamkimbiza mtu
  Said Bahanuzi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tusker
  Kiiza na beki wa Tusker
  Bahanuzi akikokota mpira dhidi ya mabeki wa Tusker
  Banda akipambana
  Mpira wa juu
  Mfungaji wa bao la Tusker, Dunga akishangilia baada ya kufunga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: YANGA NA TUSKER KATIKA PICHA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top