• HABARI MPYA

    Wednesday, December 19, 2012

    GAUDENCE MWAIKIMBA NA SEIF MAGOLI WALIVYOING'ARISHA AZAM LEO KINSHASA

    Gaudence Mwaikimba, akimshukuru Kipre Tchetche kwa pasi ya bao katika mchezo wa leo wa Kombe la Hisani kwenye Uwanja wa Martyrs mjini Kinshasa, DRC. Azam ilishinda 2-1.

    Gau na Uhuru wakisababisha kwenye lango la Real 

    Kocha Stewart akifuatilia mchezo

    Daktari Paulo Gomez anamtibu Waziri Salum, kulia ni Uhuru akimsaidia

    Gomez anamtoa Gau  baada ya kuumizwa

    Kipre Tchetche anagulia maumivu,. Hakurudi uwanjani

    Gomez anamtibu Humphrey Mieno, hakurudi uwanjani pia

    Kutoka kuolia Abdi Kassim, Uhuru Suleiman na Zahor Pazi wakiwa kwenye benchi

    Kikosi cha Azam leo

    Kipre Balou anatafuta njia

    Mieno amewekwa chini kwenye eneo la hatari, lakini hii refa alimezea

    Himid Mao kamuacha mtu chini, anafanya mwendo

    Kipre Tcheche balaa, cheki anavyopaa

    Kipre Tchetche ni noma

    Seif Abdallah anamuacha mtu

    Nahodha Jabir Aziz akimpongeza kijana wake Seif kwa kupiga bao la pili

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: GAUDENCE MWAIKIMBA NA SEIF MAGOLI WALIVYOING'ARISHA AZAM LEO KINSHASA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top